Methali 29:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafla, wala hapati dawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Anayekaza shingo baada ya maonyo mengi, ataangamia ghafula, na kamwe hatapona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mtu anayeendelea kuwa na shingo ngumu baada ya maonyo mengi, ataangamia ghafula, wala hapati dawa. Tazama sura |