Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 28:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake, Kuliko mpotovu wa njia angawa ni tajiri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko tajiri aishiye kwa upotovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko tajiri aishiye kwa upotovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko tajiri aishiye kwa upotovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu.

Tazama sura Nakili




Methali 28:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau.


Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.


Afadhali maskini aendaye katika uadilifu wake, Kuliko mpotovu wa midomo aliye mpumbavu.


Haja ya mwanadamu ni hisani yake; Ni afadhali maskini kuliko mwongo.


Aendaye kwa unyofu ataokolewa; Bali mkaidi wa njia zake ataanguka mara.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo