Methali 28:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Mwenye kujitumainia moyo wake ni mjinga; Bali yeye aendaye kwa busara ataokolewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Anayetegemea akili yake mwenyewe ni mpumbavu; lakini anayeishi kwa hekima atakuwa salama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Anayetegemea akili yake mwenyewe ni mpumbavu; lakini anayeishi kwa hekima atakuwa salama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Anayetegemea akili yake mwenyewe ni mpumbavu; lakini anayeishi kwa hekima atakuwa salama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. Tazama sura |