Methali 28:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Mwenye nafsi ya kutamani huchochea fitina; Bali amtumainiye BWANA ataneemeshwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mchoyo huchochea ugomvi, lakini anayemtegemea Mwenyezi-Mungu atafanikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mchoyo huchochea ugomvi, lakini anayemtegemea Mwenyezi-Mungu atafanikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mchoyo huchochea ugomvi, lakini anayemtegemea Mwenyezi-Mungu atafanikiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, bali yule amtegemeaye Mwenyezi Mungu atafanikiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, bali yule amtegemeaye bwana atafanikiwa. Tazama sura |