Methali 27:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Kalibu ni kwa fedha, na tanuri kwa dhahabu; Na mtu hujaribiwa kwa sifa zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Ubora wa fedha au dhahabu hupimwa kwa moto, na mtu hupimwa kutokana na sifa zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Ubora wa fedha au dhahabu hupimwa kwa moto, na mtu hupimwa kutokana na sifa zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Ubora wa fedha au dhahabu hupimwa kwa moto, na mtu hupimwa kutokana na sifa zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kalibu husafisha fedha na tanuru husafisha dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa anazopewa na watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa azipokeazo. Tazama sura |