Methali 27:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake; Naye amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Anayeutunza mtini hula tini, anayemhudumia bwana wake ataheshimiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Anayeutunza mtini hula tini, anayemhudumia bwana wake ataheshimiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Anayeutunza mtini hula tini, anayemhudumia bwana wake ataheshimiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa. Tazama sura |