Methali 26:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Kama shomoro katika kutangatanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpati mtu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Kama shomoro au mbayuwayu wasiotua, kadhalika laana asiyostahili mtu haimtui. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Kama shomoro au mbayuwayu wasiotua, kadhalika laana asiyostahili mtu haimtui. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Kama shomoro au mbayuwayu wasiotua, kadhalika laana asiyostahili mtu haimtui. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu. Tazama sura |