Methali 26:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Ndivyo alivyo amdanganyaye mwenzake, Na kusema, Je! Sikufanya mzaha tu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 ndivyo alivyo mtu ampotoshaye jirani, kisha aseme, “Nilikuwa natania tu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 ndivyo alivyo mtu ampotoshaye jirani, kisha aseme, “Nilikuwa natania tu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 ndivyo alivyo mtu ampotoshaye jirani, kisha aseme, “Nilikuwa natania tu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!” Tazama sura |