Methali 25:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Kama vile maji ya baridi kwa mtu mwenye kiu, Ndivyo ilivyo habari njema itokayo katika nchi ya mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kama vile maji baridi kwa mwenye kiu, ndivyo habari njema kutoka mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kama vile maji baridi kwa mwenye kiu, ndivyo habari njema kutoka mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kama vile maji baridi kwa mwenye kiu, ndivyo habari njema kutoka mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Kama vile maji baridi kwa nafsi iliyochoka ndivyo zilivyo habari njema kutoka nchi ya mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kama vile maji baridi kwa nafsi iliyochoka ndivyo zilivyo habari njema kutoka nchi ya mbali. Tazama sura |