Methali 25:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hivyo utafanya apate aibu kali, kama makaa ya moto kichwani pake, naye Mwenyezi-Mungu atakutuza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hivyo utafanya apate aibu kali, kama makaa ya moto kichwani pake, naye Mwenyezi-Mungu atakutuza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hivyo utafanya apate aibu kali, kama makaa ya moto kichwani pake, naye Mwenyezi-Mungu atakutuza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye Mwenyezi Mungu atakupa thawabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye bwana atakupa thawabu. Tazama sura |
Wakaondoka wale watu waliotajwa majina yao, wakawatwaa wafungwa, wakawavika kwa zile nyara wale wote waliokuwa uchi, wakawapa mavazi na viatu, wakawalisha, wakawanywesha, wakawatia mafuta, wakawapandisha waliokuwa dhaifu miongoni mwao juu ya punda wakawaleta Yeriko, mji wa mitende, kwa ndugu zao; kisha wakarudi Samaria.