Methali 25:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Mtu amshuhudiaye jirani yake uongo Ni nyundo, na upanga, na mshale mkali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Mtu atoaye ushahidi wa uongo dhidi ya mwenziwe, ni hatari kama rungu, upanga au mshale mkali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Mtu atoaye ushahidi wa uongo dhidi ya mwenziwe, ni hatari kama rungu, upanga au mshale mkali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Mtu atoaye ushahidi wa uongo dhidi ya mwenziwe, ni hatari kama rungu, upanga au mshale mkali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kama vile rungu au upanga au mshale mkali ndivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kama vile rungu au upanga au mshale mkali ndivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake. Tazama sura |