Methali 25:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Yeye asikiaye asije akakutukana; Na aibu yako isiondoke. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 watu wasije wakajua kuna siri, ukajiharibia jina lako daima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 watu wasije wakajua kuna siri, ukajiharibia jina lako daima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 watu wasije wakajua kuna siri, ukajiharibia jina lako daima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha, na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka. Tazama sura |