Methali 24:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Kumbe! Lote pia limemea miiba; Uso wake ulifunikwa kwa viwawi; Na ukuta wake wa mawe umebomoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Nilishangaa kuona limemea miiba, magugu yamefunika eneo lake lote, na ukuta wake wa mawe umebomoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Nilishangaa kuona limemea miiba, magugu yamefunika eneo lake lote, na ukuta wake wa mawe umebomoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Nilishangaa kuona limemea miiba, magugu yamefunika eneo lake lote, na ukuta wake wa mawe umebomoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 miiba ilikuwa imeota kila mahali, ardhi ilikuwa imefunikwa na magugu, na ukuta wa mawe ulikuwa umebomoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 miiba ilikuwa imeota kila mahali, ardhi ilikuwa imefunikwa na magugu, na ukuta wa mawe ulikuwa umebomoka. Tazama sura |