Methali 24:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena; Bali wasio haki hukwazwa na mabaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 maana mtu mwema huanguka mara nyingi lakini huinuka, lakini mtu mwovu huangamizwa na janga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 maana mtu mwema huanguka mara nyingi lakini huinuka, lakini mtu mwovu huangamizwa na janga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 maana mtu mwema huanguka mara nyingi lakini huinuka, lakini mtu mwovu huangamizwa na janga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena; lakini waovu huangushwa chini na maafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena, lakini waovu huangushwa chini na maafa. Tazama sura |