Methali 24:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ukifa moyo wakati wa shida, basi wewe ni dhaifu kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ukifa moyo wakati wa shida, basi wewe ni dhaifu kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ukifa moyo wakati wa shida, basi wewe ni dhaifu kweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo! Tazama sura |