Methali 23:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula. Atakuambia, “Kula, kunywa!” Lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula. Atakuambia, “Kula, kunywa!” Lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula. Atakuambia, “Kula, kunywa!” lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 kwa maana yeye ni aina ya mtu ambaye kila mara anafikiri kuhusu gharama. Anakuambia, “Kula na kunywa,” lakini moyo wake hauko pamoja nawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 kwa maana yeye ni aina ya mtu ambaye kila mara anafikiri juu ya gharama. Anakuambia, “Kula na kunywa,” lakini moyo wake hauko pamoja nawe. Tazama sura |