Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Methali 23:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Usiutazame mvinyo iwapo ni mwekundu; uitiapo bilauri rangi yake, ushukapo taratibu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Usiukodolee macho mvinyo ukiwa mwekundu, unapometameta kwenye bilauri, unaposhuka taratibu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Usiukodolee macho mvinyo wakati ukiwa mwekundu, wakati unapometameta kwenye bilauri, wakati ushukapo taratibu!

Tazama sura Nakili




Methali 23:31
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa wakati wa jioni, Daudi akaondoka kitandani, akatembea juu ya dari la jumba la mfalme; na alipokuwa juu ya dari aliona mwanamke anaoga; naye huyo mwanamke alikuwa mzuri sana, wa kupendeza macho.


Lakini, Ayubu, nakuomba usikilize hoja yangu, Ukayasikilize maneno yangu yote.


Unigeuze macho yangu nisitazame visivyofaa, Unihuishe katika njia yako.


Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; Wala usikubali akunase kwa kope za macho yake.


Na kinywa chako kama divai iliyo bora, Kwa mpendwa wangu inashuka taratibu, Ikitiririka midomoni mwao walalao.


Na jicho lako likikukosesha, ling'oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika Jehanamu;


Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;


Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo