Methali 23:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Msikilize baba yako aliyekuzaa, Wala usimdharau mama yako akiwa mzee. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Msikilize baba yako aliyekuzaa, wala usimdharau mama yako akizeeka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Msikilize baba yako aliyekuzaa, wala usimdharau mama yako akizeeka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Msikilize baba yako aliyekuzaa, wala usimdharau mama yako akizeeka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Msikilize baba yako, aliyekuzaa, wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Msikilize baba yako, aliyekuzaa, wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee. Tazama sura |