Methali 23:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Naam, viuno vyangu vitafurahi, Midomo yako inenapo maneno mema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa. Tazama sura |