Methali 22:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mtu mwangalifu huona hatari akajificha, lakini wajinga hujitokeza mbele wakaumia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mtu mwangalifu huona hatari akajificha, lakini wajinga hujitokeza mbele wakaumia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mtu mwangalifu huona hatari akajificha, lakini wajinga hujitokeza mbele wakaumia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele, naye hupata madhara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa. Tazama sura |