Methali 22:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 maana ni vizuri kuyahifadhi ndani yako, hali yakithibitika pamoja midomoni mwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Wewe utafurahi endapo utayaweka moyoni, na kuyakariri kila wakati. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Wewe utafurahi endapo utayaweka moyoni, na kuyakariri kila wakati. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Wewe utafurahi endapo utayaweka moyoni, na kuyakariri kila wakati. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako na kuwa nayo yote tayari mdomoni mwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako na kuwa nayo yote tayari midomoni mwako. Tazama sura |