Methali 22:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Tega sikio usikie maneno ya wenye hekima, elekeza moyo wako uzingatie maarifa yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Tega sikio usikie maneno ya wenye hekima, elekeza moyo wako uzingatie maarifa yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Tega sikio usikie maneno ya wenye hekima, elekeza moyo wako uzingatie maarifa yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo, Tazama sura |