Methali 21:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Kuna hazina ya thamani na mafuta katika maskani ya mwenye hekima; Bali mwanadamu aliye mpumbavu huyameza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Nyumbani kwa mwenye busara mna hazina za thamani, lakini mpumbavu huponda mali yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Nyumbani kwa mwenye busara mna hazina za thamani, lakini mpumbavu huponda mali yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Nyumbani kwa mwenye busara mna hazina za thamani, lakini mpumbavu huponda mali yake yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Katika nyumba ya mwenye hekima kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta, lakini mtu mpumbavu hutafuna vyote alivyo navyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Katika nyumba ya mwenye hekima kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta, lakini mtu mpumbavu hutafuna vyote alivyo navyo. Tazama sura |