Methali 21:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ni afadhali kuishi jangwani kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ni afadhali kuishi jangwani kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. Tazama sura |