Methali 21:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Mwenye mzaha aadhibiwapo, mjinga hupata hekima; Na mwenye hekima afundishwapo, hupokea maarifa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Ukimwadhibu mwenye dhihaka, mjinga hupata hekima; ukimfundisha mwenye hekima, unampatia maarifa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Ukimwadhibu mwenye dhihaka, mjinga hupata hekima; ukimfundisha mwenye hekima, unampatia maarifa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Ukimwadhibu mwenye dhihaka, mjinga hupata hekima; ukimfundisha mwenye hekima, unampatia maarifa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, mjinga hupata hekima; wakati mtu mwenye hekima anafundishwa, hupata maarifa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, mjinga hupata hekima; wakati mtu mwenye hekima afundishwapo, hupata maarifa. Tazama sura |