Methali 20:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, Watoto wake wabarikiwa baada yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mtu mwadilifu akiishi kwa unyofu; watoto wake atakaowaacha watabarikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mtu mwadilifu akiishi kwa unyofu; watoto wake atakaowaacha watabarikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mtu mwadilifu akiishi kwa unyofu; watoto wake atakaowaacha watabarikiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, wamebarikiwa watoto wake baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, wamebarikiwa watoto wake baada yake. Tazama sura |