Methali 20:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Fadhili na uaminifu humhifadhi mfalme, Na kiti chake cha enzi huthibitishwa kwa fadhili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Wema na uaminifu humkinga mfalme; utawala wake huimarishwa kwa uadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Wema na uaminifu humkinga mfalme; utawala wake huimarishwa kwa uadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Wema na uaminifu humkinga mfalme; utawala wake huimarishwa kwa uadilifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Upendo na uaminifu humweka mfalme salama; kiti chake cha ufalme huwa salama kwa upendo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Upendo na uaminifu humweka mfalme salama, kwa njia ya upendo, kiti chake cha enzi huwa salama. Tazama sura |