Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 20:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Dhamiri ya mtu ni taa ya Mwenyezi-Mungu; huchunguza nafsi yake mtu mpaka ndani kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Dhamiri ya mtu ni taa ya Mwenyezi-Mungu; huchunguza nafsi yake mtu mpaka ndani kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Dhamiri ya mtu ni taa ya Mwenyezi-Mungu; huchunguza nafsi yake mtu mpaka ndani kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Taa ya Mwenyezi Mungu huchunguza roho ya mwanadamu, huchunguza utu wake wa ndani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Taa ya bwana huchunguza roho ya mwanadamu, huchunguza utu wake wa ndani.

Tazama sura Nakili




Methali 20:27
9 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa kiumbe hai.


Lakini hakika imo roho ndani ya mwanadamu, Na pumzi ya Mwenyezi ndiyo impayo ufahamu.


Fadhili na uaminifu humhifadhi mfalme, Na kiti chake cha enzi huthibitishwa kwa fadhili.


Machubuko ya fimbo husafisha uovu, Na mapigo hufikia ndani ya mtima.


Hao waionesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea;


Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo