Methali 20:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Urithi uliopatikana mwanzo kwa haraka, Mwisho wake, lakini, hautabarikiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mali iliyopatikana kwa haraka mwanzoni, haitakuwa ya heri mwishoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mali iliyopatikana kwa haraka mwanzoni, haitakuwa ya heri mwishoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mali iliyopatikana kwa haraka mwanzoni, haitakuwa ya heri mwishoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Urithi upatikanao haraka mwanzoni, hautabarikiwa mwishoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Urithi upatikanao haraka mwanzoni, hautabarikiwa mwishoni. Tazama sura |