Methali 20:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mizani ya udanganyifu na vipimo vya udanganyifu, vyote ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mizani ya udanganyifu na vipimo vya udanganyifu, vyote ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mizani ya udanganyifu na vipimo vya udanganyifu, vyote ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, Mwenyezi Mungu huchukia vyote viwili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, bwana huchukia vyote viwili. Tazama sura |