Methali 2:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang'olewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watangolewa humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watangolewa humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watang'olewa humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, nao wasio waaminifu watang’olewa kutoka humo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, nao wasio waaminifu watang’olewa kutoka humo. Tazama sura |