Methali 2:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, nao wasio na lawama watabakia ndani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, nao wasio na lawama watabakia ndani yake. Tazama sura |