Methali 2:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Maana nyumba yake inaelekea mauti, Na mapito yake yanakwenda kwenye wafu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Nyumba yake yaelekea kuzimu, njia zake zinakwenda ahera. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Nyumba yake yaelekea kuzimu, njia zake zinakwenda ahera. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Nyumba yake yaelekea kuzimu, njia zake zinakwenda ahera. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo na mapito yake kwenye roho za waliokufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo na mapito yake kwenye roho za waliokufa. Tazama sura |