Methali 2:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 mwanamke amwachaye mwenzi wa ujana wake, na kulisahau agano la Mungu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 mwanamke amwachaye mwenzi wa ujana wake, na kulisahau agano la Mungu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 mwanamke amwachaye mwenzi wa ujana wake, na kulisahau agano la Mungu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 aliyemwacha mwenzi wa ujana wake na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 aliyemwacha mwenzi wa ujana wake na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. Tazama sura |