Methali 19:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Shahidi asiyefaa kitu hudhihaki hukumu, Na vinywa vya wasio haki humeza uovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Shahidi asiyefaa kitu huidhihaki haki; na kinywa cha mwovu hubugia uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Shahidi asiyefaa kitu huidhihaki haki; na kinywa cha mwovu hubugia uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Shahidi asiyefaa kitu huidhihaki haki; na kinywa cha mwovu hubugia uovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi. Tazama sura |