Methali 19:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Mtu wa hasira nyingi atachukua adhabu yake, Maana ujapomwokoa huna budi kufanya tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mtu wa hasira kali lazima apate adhabu; ukimwachia mara moja itakubidi kumwachia tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mtu wa hasira kali lazima apate adhabu; ukimwachia mara moja itakubidi kumwachia tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mtu wa hasira kali lazima apate adhabu; ukimwachia mara moja itakubidi kumwachia tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake, kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake, kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena. Tazama sura |