Methali 18:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake, Na midomo yake ni mtego wa nafsi yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kinywa cha mpumbavu humwangamiza mwenyewe; mdomo wake ni mtego wa kumnasa yeye mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kinywa cha mpumbavu humwangamiza mwenyewe; mdomo wake ni mtego wa kumnasa yeye mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kinywa cha mpumbavu humwangamiza mwenyewe; mdomo wake ni mtego wa kumnasa yeye mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. Tazama sura |