Methali 18:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Maneno ya kinywa cha mtu ni kama maji ya vilindi; Kijito kibubujikacho; chemchemi ya hekima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Maneno yaweza kuwa chemchemi ya hekima; yenye kilindi kama bahari, kama kijito kinachobubujika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Maneno yaweza kuwa chemchemi ya hekima; yenye kilindi kama bahari, kama kijito kinachobubujika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Maneno yaweza kuwa chemchemi ya hekima; yenye kilindi kama bahari, kama kijito kinachobubujika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji, bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji, bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika. Tazama sura |