Methali 18:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuliko mji wa nguvu; Na mashindano ni kama mapingo ya ngome. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Ndugu aliyeudhiwa ni mgumu kuliko mji wa ngome; magomvi hubana kama makufuli ya ngome. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Ndugu aliyeudhiwa ni mgumu kuliko mji wa ngome; magomvi hubana kama makufuli ya ngome. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Ndugu aliyeudhiwa ni mgumu kuliko mji wa ngome; magomvi hubana kama makufuli ya ngome. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuridhika kuliko mji uliozungushiwa ngome, nayo mabishano ni kama malango ya ngome yenye makomeo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuridhika kuliko mji uliozungushiwa ngome, nayo mabishano ni kama malango ya ngome yenye makomeo. Tazama sura |