Methali 17:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Wana wa wana ndio taji la wazee, Na utukufu wa watoto ni baba zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wazee huwaonea fahari wajukuu zao; watoto huwaonea fahari wazazi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wazee huwaonea fahari wajukuu zao; watoto huwaonea fahari wazazi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wazee huwaonea fahari wajukuu zao; watoto huwaonea fahari wazazi wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wana wa wana ni taji la wazee, nao wazazi ni fahari ya watoto wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wana wa wana ni taji la wazee, nao wazazi ni fahari ya watoto wao. Tazama sura |