Methali 17:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Asiye haki hutoa rushwa kifuani, Ili kuzipotosha njia za hukumu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Mtu mbaya hupokea hongo kwa siri ili apate kupotosha haki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Mtu mbaya hupokea hongo kwa siri ili apate kupotosha haki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Mtu mbaya hupokea hongo kwa siri ili apate kupotosha haki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri ili kupotosha njia ya haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri ili kupotosha njia ya haki. Tazama sura |