Methali 16:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Kichwa chenye mvi ni taji la utukufu, Kama kikionekana katika njia ya haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kuwa na mvi za uzee ni taji la utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kuwa na mvi za uzee ni taji la utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kuwa na mvi za uzee ni taji la utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Mvi ni taji la utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Mvi ni taji ya utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama sura |