Methali 16:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mtu aweza kuona njia yake kuwa sawa, lakini mwishowe humwongoza kwenye kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mtu aweza kuona njia yake kuwa sawa, lakini mwishowe humwongoza kwenye kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mtu aweza kuona njia yake kuwa sawa, lakini mwishowe humwongoza kwenye kifo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini. Tazama sura |