Methali 16:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kupata hekima ni bora kuliko dhahabu; kupata akili ni chaguo bora kuliko fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kupata hekima ni bora kuliko dhahabu; kupata akili ni chaguo bora kuliko fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kupata hekima ni bora kuliko dhahabu; kupata akili ni chaguo bora kuliko fedha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, kuchagua ufahamu kuliko fedha! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, kuchagua ufahamu kuliko fedha! Tazama sura |