Methali 16:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Kuna uhai katika nuru ya uso wa mfalme, Na fadhili zake ni kama wingu la masika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Uso wa mfalme ukingaa kuna uhai; wema wake ni kama wingu la masika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Uso wa mfalme ukingaa kuna uhai; wema wake ni kama wingu la masika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Uso wa mfalme uking'aa kuna uhai; wema wake ni kama wingu la masika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Uso wa mfalme ung’aapo, inamaanisha uhai; upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Uso wa mfalme ung’aapo, inamaanisha uhai; upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli. Tazama sura |