Methali 15:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Akataaye maonyo huidharau nafsi yake mwenyewe; Bali yeye asikilizaye lawama hujipatia ufahamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Anayekataa kufundishwa anajidharau mwenyewe, bali anayekubali maonyo hupata busara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Anayekataa kufundishwa anajidharau mwenyewe, bali anayekubali maonyo hupata busara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Anayekataa kufundishwa anajidharau mwenyewe, bali anayekubali maonyo hupata busara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Yeye anayedharau maonyo hujidharau mwenyewe, bali yeyote anayekubali maonyo hupata ufahamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Yeye anayedharau maonyo hujidharau mwenyewe, bali yeyote anayekubali maonyo hupata ufahamu. Tazama sura |