Methali 14:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Upendeleo wa mfalme humwelekea mtumwa atendaye kwa busara; Bali hasira yake itakuwa juu yake aletaye aibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Mfalme humfadhili mtumishi atendaye kwa hekima, lakini hasira yake huwakumba watendao yasiyofaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Mfalme humfadhili mtumishi atendaye kwa hekima, lakini hasira yake huwakumba watendao yasiyofaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Mfalme humfadhili mtumishi atendaye kwa hekima, lakini hasira yake huwakumba watendao yasiyofaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima, bali ghadhabu yake humwangukia mtumishi mwenye kuaibisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima, bali ghadhabu yake humwangukia mtumishi mwenye kuaibisha. Tazama sura |