Methali 14:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Amwoneaye maskini humsuta Muumba wake; Bali yeye awahurumiaye wahitaji humheshimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Anayemdhulumu maskini anamtukana Muumba wake, lakini amwoneaye huruma mhitaji anamtukuza Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Anayemdhulumu maskini anamtukana Muumba wake, lakini amwoneaye huruma mhitaji anamtukuza Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Anayemdhulumu maskini anamtukana Muumba wake, lakini amwoneaye huruma mhitaji anamtukuza Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Yeye anayemdhulumu maskini humdharau Muumba wao, bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao, bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. Tazama sura |