Methali 14:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Asiye mwepesi wa hasira ana fahamu nyingi; Bali mwenye roho ya hamaki hutukuza upumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Mtu asiye mwepesi wa hasira ana busara kubwa, lakini akasirikaye upesi hukuza upumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Mtu asiye mwepesi wa hasira ana busara kubwa, lakini akasirikaye upesi hukuza upumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Mtu asiye mwepesi wa hasira ana busara kubwa, lakini akasirikaye upesi hukuza upumbavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi, bali anayekasirika haraka huonesha upumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi, bali anayekasirika haraka huonyesha upumbavu. Tazama sura |