Methali 14:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Utukufu wa mfalme ni wingi wa watu wake; Bali uchache wa watu ni uharibifu wa mkuu wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Fahari ya mfalme ni wingi wa watu wake, lakini bila watu mtawala huangamia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Fahari ya mfalme ni wingi wa watu wake, lakini bila watu mtawala huangamia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Fahari ya mfalme ni wingi wa watu wake, lakini bila watu mtawala huangamia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme, bali pasipo watu mkuu huangamia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme, bali pasipo watu mkuu huangamia. Tazama sura |